Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 17:08

Je, Jussie Smollett 'alipanga' shambulio lililomlenga yeye mwenyewe?


Je, Jussie Smollett 'alipanga' shambulio lililomlenga yeye mwenyewe?
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:05 0:00

Mzozo unaomkabili msanii wa hapa Marekani Jussie Smollett, ulichukuwa mwelekeo mpya jana Alhamisi, baada ya mcheza filamu huyo kufikishwa mahakamani, huku Polisi wakisema wanaushahidi wa kutosha, unaoonyesha kuwa alipanga shambulio lililomlenga yeye mwenyewe.

XS
SM
MD
LG