Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 13:56

Donald Trump anatarajiwa kutangaza dharura ya kitaifa


Donald Trump anatarajiwa kutangaza dharura ya kitaifa
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:17 0:00

Rais wa Marekani Donald Trump leo anatarajiwa kutangaza hali ya dharura ili kukwepa kupitia bungeni na kupata pesa kwa ajili ya ujenzi wa ukuta katika mpaka kati ya marekani na mexico

XS
SM
MD
LG