No media source currently available
Mtanzania ajulikanaye kwa jina la Abdul Rahman Asman amekamatwa na madawa ya kelevya katika mji wa Bali nchini Indonesia. Madawa hayo aliyokamatwa nayo ni zaidiya kilo moja mabyo alikuwa ameyameza tumboni kwenye vifuko vya plastiki.
Ona maoni
Facebook Forum