Wagombea sitini wamejitokeza kuwania nafasi ya urais wa nchi ya Nigeria. Hata hivyo wana nafasi ndogo sana ya kushinda uchaguzi wakishindana na rais anayegombea kiti chake Muhammadu Buhari na anayepata ushindani wa karibu kutoka kwa aliyekuwa makamu wa rais Atiku Abubakar
Facebook Forum