Mkutano wa viongozi wakuu wa serikali za nchi za Afrika wamemaliza mkutano wa mwaka mjni Addis Ababa , Ethiopia . Mkutano huo ulikuwa ukijadili makubaliano kati ya nchi hizo na usalama wa wakimbizi. Rais wa Misri Abdle Fatah Al sisi alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa umoja huo .
Facebook Forum