Hotuba ya hali ya taifa iliyotolewa na rais wa 45 wa Marekani Donald Trump imeleta hisia mbalimbali kutoka kwa wanachama wa upinzani na baadhi ya wananchi, hata hivyo Trump aliwataka kuwapo kwa umoja baina yao. Pia alisisitiza umuhimu wa ukuta kwenye mpaka wa kusini mwa Marekani.
Facebook Forum