Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 13:06

Duniani Leo February 5th, 2019


Duniani Leo February 5th, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:28:50 0:00

Watu nane wamekufa kwenye ajali ya moto, na wengine 30 kujeruhiwa katika moto nchini Ufarasa. Mwendesha mashitaka Remy Heitz ameseema mwanamke mmoja anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwasha kwa kusudi moto hu. Naye waziri mkuu wa Australia awapa pole waliokumbwa na mafuriko nchini humo

XS
SM
MD
LG