Mlipuko mkubwa uliotokea kwenye mji mkuu wa Somali, Mogadishu umeuwa watu wasiopungua tisa na kujeruhi mamia ya watu waliokuwa kwenye soko ambalo liko jirani na ofisi kadhaa za serikali. Mamia ya wauguzi walifanya mgomo kwenye hosptali Kenya. Wauguzi hao wanadai kuongezewa malupulupu.
Facebook Forum