Tuzo za 25 za Screen Actors Guild -SAG zafana, kama ilivyotarajiwa mwigizaji Rami Malek , Glean Close waliibuka washindi, wa waigizaji bora wakati filamu ya Black Panther imejichukulia zawadi kubwa ya usiku huo. Tamasha la Sundance yaonyesha filamu mpya zenye msukumo wa ME TOO
Facebook Forum