Rais mpya wa Jamhuri ya kidemokrasia ya kongo Felix Tshisekedi ametowa wito wa maridhiano ya kitaifa na umoja alipochukua madaraka kutoka kwa Joseph Kabila katika utaratibu wa kwanza kabisa wa kukabidhiana madaraka kupitia uchaguzi tangu uhuru wa nchi hiyo miaka 59 iliyopita
Facebook Forum