No media source currently available
Rais mpya wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ameapishwa kuwa rais wa tano wa nchi hiyo katika sherehe zilizofanyika mji mkuu wa Kishasa. Serikali ya Marekani leo imefikisha siku 34 tangu baadhi ya idara ya serikali kuu kufungwa.
Ona maoni
Facebook Forum