No media source currently available
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewataka viongozi na dini na mashirika mbalimbali ya kijamii kuungana na kutokomeza ugaidi.