No media source currently available
Vyama vinavyo muunga mkono Martin Fayulu vimepinga matokeo yaliyotangazwa na mahakama ya kikatiba jumapili ambapo yamemthibitisha Felix Tshisekedi kama rais wa DRC.