Siku ya 27 tangu baadhi idara za serikali ya Marekani kufungwa, hata hivyo viongozi wa chama tawala na wapinzani bado hawajafikia muafaka wa matakwa yao ili kufungua serikali kuu. Mataifa mbalimbali yatoa salamu za rambirambi kwa taifa la Kenya baada ya kukubwa na shambulio la ugaidi.
Facebook Forum