Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 31, 2023 Local time: 23:32

Hali ya hofu yatanda Zimbabwe


Hali ya hofu yatanda Zimbabwe
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:22 0:00

Hali ya wasiwasi na hofu imetanda katika miji miwili mikubwa ya Zimbabwe baada ya wanajeshi kuvamia jana usiku katika baadhi ya vitongoji ambako kulizuka na maandamano ya ghasia.

XS
SM
MD
LG