Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 05:26

Watu wasiojulikana wavamia hoteli Kenya


Watu wasiojulikana wavamia hoteli Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:33 0:00

Watu wanaosadikiwa kuwa magaidi wamefamia hotel ya Dusit katika jiji la Nairobi . Walioshuhudia janga hilo walisema kuwa wasikia milipuko miwili na kufatiwa na milio ya bunduki. Serikali ya Kenya haijatoa kauli kuhusu shambulio hilo, hata hivyo kikundi cha ugaidi cha Al Shabab wadai ndio wahusika.

XS
SM
MD
LG