Duniani Leo January 14, 2019
Mshitakiwa wa shambulizi la Westgate Mall achiwa huru baada ya kutokutwa na hatia. Shambulizi hilo llilouwa watu 67 ilifanyika mwaka 2013 Nairobi, Kenya. Waziri wa mamboya nje wa Marekani na Mwana mrithi wa ufalme wa Saudia Arabia Mohammed Bin Salman wamekubaliana kusitisha mashambulizi Yemen.
Facebook Forum