No media source currently available
Tume huru ya uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, SENI imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwisho mwaka jana, hata hivyo Martin Fayulu aliyetangazwa kushika nafasi ya pili amepinga matokeo hayo.
Ona maoni
Facebook Forum