Nchi mbalimbali duniani zashangazwa kufuatia kujiuzulu ghalfa kwa rais wa benki kuu ya dunia, Jim Yong Kim miaka mitatu kabla ya muda wake kumalizika. Waziri wa mawasiliano Guy Betrand Mapangou amesema vikosi vya usalama vinaendelea kufanya doria katika mji mkuu wa Libreville, Gabon
Facebook Forum