Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo January 7, 2019


Duniani Leo January 7, 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Wanajeshi watatu aliokuwa wanataka kumpindua rais wa Gabon Ali Bongo wamekamatwa na mmoja wa wanajeshi amekamatwa, baada ya mapinduzi hayo kutofanyika. Rais wa Marekani Donald Trump amesema anamatumaini makubwa ya ushirikiano na serikali ya China.

XS
SM
MD
LG