No media source currently available
Dunia yasherehekea mwaka mpya wa 2019 kwa mafataki na sherehe za aina mbalimbali. Sherehe na vifijo zilionekana na kusikika sehemu mbalimbali za starehe. Wacongo waendelea kusubiri matoke ya uchaguzi nchini Congo.
Ona maoni
Facebook Forum