No media source currently available
Maafisa wa usalama wa Russia wamesema watoto 30 wa Russia ambao mama zao wako jela huko Iraq kwa kuhusika na kundi la Islamic state waliwasili jumapili mjini Moscow wakitokea Baghdad.
Ona maoni
Facebook Forum