No media source currently available
Askofu mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Fridolin Ambongo amewataka wakuu wa nchi kuhakikisha uchaguzi wa haki na kuaminika unafanyika Disemba 30 mwaka huu. Askofu alisema hayo kwenye mkesha wa siku kuu ya Krismasi.
Ona maoni
Facebook Forum