Ndani ya Washington Bureau Wiki hii: Soko la bidhaa wakati wa sikukuu limekuwa utamaduni maarufu kila mwaka Washington D.C. Wakati huo huo serekali ya Marekani intafuta njia nyingine mbadala zitakazosaidia kupunguza haja ya watu kutaka kuingia Marekani.
Facebook Forum