No media source currently available
Tunaendelea na mfululizo wa Makala ya “ sisi ni wakongo” leo tunamtizama Kastaki Mwenge fundi wa nguo katika mji wa Kinshasa anaeleza kuhusu shughuli zake na matarajio katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo.
Ona maoni
Facebook Forum