Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 09:38

Tume ya maalumu ya kuripoti ghasia yapongezwa na upinzani Zimbabwe


Tume ya maalumu ya kuripoti ghasia yapongezwa na upinzani Zimbabwe
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:14 0:00

Chama kikuu cha upinzani cha Zimbabwe MDC kimepongeza kutangazwa kwa ripoti ya Tume maalumu iliyochunguza ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi wa rais mwezi augusti mwaka huu.

XS
SM
MD
LG