Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 14:57

Maendeleo ya mazungumzo ya amani kuhusu Yemen nchini Sweden


Maendeleo ya mazungumzo ya amani kuhusu Yemen nchini Sweden
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:24 0:00

Duru ya kwanza ya mazungumzo ya Amani kuhusu mzozo wa Yemen imekamilika sweeden alhamisi , kukiwa na makubaliano ya sitisho la mapigano katika eneo lililogubikwa na vita la Hodeida pamoja na mabadilishano ya wafungwa.

XS
SM
MD
LG