Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 20, 2021 Local time: 14:01

Wanawake waandamana Nairobi kuhusu kesi za wanawake waliouwawa


Wanawake waandamana Nairobi kuhusu kesi za wanawake waliouwawa
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:01 0:00

Wanaharakati nchini kenya hasa wanawake wameshiriki maandamano katikati mwa jiji la Nairobi kuelezea ghadhabu zao jinsi washukiwa wa kesi za wanawake waliouwawa nchini Kenya wanavyoachiliwa pasi na kuhukumiwa.

XS
SM
MD
LG