Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 08, 2021 Local time: 10:12

Vijana wakundi la Lucha wakamatwa kwa mara nyingine DRC


Vijana wakundi la Lucha wakamatwa kwa mara nyingine DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:15 0:00

Tukieleka huko DRC polisi kwa mara nyingine imewakamata vijana wa kundi la Lucha Africa na kuwatawanya wengi miongoni mwao hasa wasichana walio kuwa wakiandamana Mjini Goma hadi Tume huru ya uchaguzi, kuomba vitambulisho vya kupigia kura.

XS
SM
MD
LG