Kenyatta ameanza rasmi ziara ya siku mbili katika jimbo la Kisumu
Rais Uhuru Kenyatta ameanza rasmi ziara ya siku mbili katika jimbo la Kisumu, Hii ni ziara yake ya kwanza katika ngome ya kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga tangu walipotatua tofauti zao za kisiasa miezi tisa iliyopita kupitia kitendo maarufu kinachojulikana kama the hand shake.
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum