Wakati mgogoro wa kujitoa katika muungano wa jumuia ya ulaya maarufu kwa Brexit ukiendelea wanachama wa conservative watapiga kura za siri ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Theresa May. Naye rais wa Marekani Dolnald Trump amesema kuwa hana wasiwasi wa kufikiswa mahakamani.
Facebook Forum