Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 09, 2021 Local time: 05:27

Theresa May atafuta kuungwa mkono barani ulaya


Theresa May atafuta kuungwa mkono barani ulaya
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:39 0:00

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amekutana na Kansela wa Ujerumani Angela markel na Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte kwa nia ya kutaka kuungwa mkono mchakato wa yake kujitoka katika umoja wa nchi za ulaya.

XS
SM
MD
LG