Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 14:01

Tamasha la Kakuma Got Talent lafana


Tamasha la Kakuma Got Talent lafana
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:13 0:00

Fainali ya tamasha la Kakuma Got Talent limefanyika katika kambi za Wakimbizi wa kutoka nchi mbalimbali za Afrika mashariki na Kati, kwa kuwashirikisha wakimbizi zaidi ya 700.

XS
SM
MD
LG