Rais wa Tanzania John magufuli ameitaka mamlaka ya mapato nchini humu kurekebisha sheria za ukusanyaji wa kodi. Mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel Denis Mukwege kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anasema uchaguzi wa nchi unaweza sababisha vita kama hautokuwa wa haki na salama.
Facebook Forum