Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 09:00

Meng Wanzhou kushikiliwa uanza wasi wasi katika masoko ya hisia duniani


Meng Wanzhou kushikiliwa uanza wasi wasi katika masoko ya hisia duniani
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:08 0:00

Kuendelea kushikiliwa kwa mkurugenzi mtendaji wa masuala ya fedha wa kampuni kubwa ya teknolojia ya China Huawei, kunazusha wasi wasi katika masoko ya hisia kote duniani, huku China ikitowa wito tena leo kwa Canada kumuachia huru.

XS
SM
MD
LG