Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 27, 2020 Local time: 00:56

Ukulima wa kisasa kunufaisha wakulima nchini Malawi


Ukulima wa kisasa kunufaisha wakulima nchini Malawi
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:47 0:00

Ukulima wa kisasa unawapa matumaini mapya wakulima nchini Malawi, ambako huwapatia mavuno zaidi ya mara mbili kwa mwaka kulinganisha na ukulima wa kutumia msimu wa mvua ambao huwapatia mavuno kwa mara moja kwa mwaka.

XS
SM
MD
LG