Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 05:28

Mahakama Uganda imeanza kusikiliza kesi za ghasia za ngono


Mahakama Uganda imeanza kusikiliza kesi za ghasia za ngono
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:29 0:00

Mahakama kote Uganda imeanza kusikiliza mamia ya kesi za ghasia za ngono zilizokwama kwa muda mrefu ikiwemo zile zinazohusiana na ubakaji wa watoto, katika juhudi za kutenda haki kwa waathiriwa.

XS
SM
MD
LG