Sheria ya Kenya inaruhusu wanafunzi barani Afrika Mashiriki kufanya mitihani nchini mwao
Afisa mkuu mtendaji wa baraza la wanasheria nchini kenya anasema japo kesi ya wanafunzi watatu waliyokua raia wa Sudan kusini hawawezi kufanya mtihani iko mahakamani na wanafunzi hao waliruhusiwa kufanya mtihani ambao umeanza leo, Sheria ya elimu ya wanasheria nchini kifungu cha 12 kinasema elimu ya juu inawatambua tuu wanafunzi ambao wako katika jumuia ya Afrika Mashariki
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum