Habari mbalimbali kutoka ulimwengu wa michezo
Duru ya pili ya mchezo wa fainali klabu bingwa barani Afrika, inaanza muda mchache ujao kwa miamba Al Ahly ya Misri, na Esperance ya Tunisia kushuka dimbani. Al Ahly ina mtaji wa kuongoza kwa goli 3 kwa 1, ushindi uliopatikana katika mchezo wa awali mjini Alexandria, Misri juma lililopita, baada ya magoli mawili yenye utata kuamuliwa na teknolojia ya Video, iliyoanza kutumika katika kombe la dunia ya VAR.
Matukio
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
-
Desemba 12, 2020
Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
Facebook Forum