No media source currently available
Uchaguzi mdogo wa kati wa Muhula kufanyika kesho nchini Marekani. Inaelezwa kuwa huu ni uchaguzi muhimu kwa miaka ya hivi karibuni. Rais mstaafu Baraka Obama na rais Donald Trump wamekuwa wakifanya kampeni za mwisho mwisho kwa vyama vyao.
Ona maoni
Facebook Forum