Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 07:25

Mtengenezaji filamu Tyler Perry anasheherekea miaka 25 katika biashara ya burudani


Mtengenezaji filamu Tyler Perry anasheherekea miaka 25 katika biashara ya burudani
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:24 0:00

Kanye West amesema kwamba amekuwa akitumiwa kwenye siasa, Michelle Obama amepanga kumualika Oprah Winfrey na Reese Witherspoon kwenye ziara ya uzinduzi wa kitabu chake, na Tamasha la kila mwaka la mavazi na biashara lijulikanalo Paris Chocolate Fair limeanza jana huko Ufaransa likiwashirikisha washiriki 500 kutoka takribani nchi 60.

XS
SM
MD
LG