Wanahabari wametakiwa kufanya uchunguzi wao zaidi hasa katika taarifa zinazotolewa na serikali
Wanahabari wametakiwa kufanya uchunguzi wao zaidi hasa katika taarifa zinazotolewa na serikali, badala ya kukubali taarifa inayotolewa na serikali hasa katika masuala ya ulinzi na usalama. Jijini Nairobi tamasha la filamu limeangazia jinsi wanahabari hawafuatilia kwa undani taarifa zinazochipuka na mara nyingi yakitokana na hofu ya kuuwawa au kutishwa.
Facebook Forum