Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 13:49

Sheria ya Malawi inayozuia mapenzi ya hiari ya jinsia moja


Sheria ya Malawi inayozuia mapenzi ya hiari ya jinsia moja
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:13 0:00

Shirika la haki za binadamu duniani, human rights watch, linasema sheria ya Malawi inayozuia mapenzi ya hiari ya jinsia moja inasababisha hali ya woga, ubaguzi na ghasia miongoni mwa watu wa nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG