Wapiga kura katika majimbo yanayoweza kwenda upande wowote katika uchaguzi wa katikati ya awamu
Jumanne ijayo wamarekani wanapiga kura katika uchaguzi wa katikati ya awamu ambao utaamua chama gani kati ya Republicans na Democrat kitadhibiti bunge la nchi hii – Congress. Katika mfululizo wetu wa Makala kuhusu uchaguzi huu leo tunaangalia jinsi ambavyo wapiga kura katika majimbo yanayoweza kwenda upande wowote ule ambako utafiti unaonesha wanawake hawa wenye elimu wanashikilia ufunguo na ushindi.
Matukio
-
Januari 21, 2021
Sherehe za kuapishwa Joseph Biden Rais wa 46 wa Marekani
-
Januari 16, 2021
Timu ya watafiti kutoka WHO ikiwasili Wuhan
-
Desemba 23, 2020
Malori ya Uingereza yazuiwa kuingia Ufaransa
-
Desemba 18, 2020
Kilichopatikana miaka 10 baada ya mapinduzi ya nchi za Kiarabu
Facebook Forum