No media source currently available
Polisi wa Italia wanawashikilia watuhumiwa watatu, wote wahamiaji kutoka afrika, katika mauaji ya msichana mmoja aliyepewa madawa, kubakwa na kuachwa katika jengo lisilotumika mjini rome.
Ona maoni
Facebook Forum