Hofu ya wizi wa mtihani nchini Kenya inaendelea kuongezeka , watoto zaidi ya millioni 3 wakitarajiwa kuanza kufanya mtihaniwa kitaifa mwisho wa mwezi huu. Serikali ya Kenya imetoa ilani na onyo kali kwa wazazi, walimu na wanafunzi kuwa watakaopatikana wamehusika katika wizi wa mtihani
Facebook Forum