No media source currently available
Bunge la Ethiopia, leo limemchagua mwanadiplomasia Sahle-Work Zewde, kuwa rais wa kwanza mwanamke, katika nchi hiyo. Bi Sahle-Work, amechaguliwa baada ya kujiuzulu ghafla kwa kiongozi aliyekuwepo, Mulatu Teshome, ambaye amehudumu kwa miaka minne.
Ona maoni
Facebook Forum