Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 06:19

Zambia yazuia magari ya mafuta kuingia nchini humo kwa muda.


Zambia yazuia magari ya mafuta kuingia nchini humo kwa muda.
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:34 0:00

Magari yanayosafirisha mizigo baina ya Tanzania na Zambia hapo jana yalikwama kwa muda katika mpaka wa nchi hizo mbili baada ya mamlaka ya mapato ya Zambia kuzuia magari yote yenye matanki ya ziada .

XS
SM
MD
LG