No media source currently available
Mkuu wa jeshi la polisi la Tanzania Simon Siro amesema jeshi lake linaendelea na uchunguzi wa kumtafuta mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji. Wadau wa utalii zaidi ya 400 kutoka nchi 40 duniani wakutana Mombasa Kenya.
Ona maoni
Facebook Forum