Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 16:38

Idadi ya vifo imeongezeka kutokana na maporomoko ya matope nchini Uganda


Idadi ya vifo imeongezeka kutokana na maporomoko ya matope nchini Uganda
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:14 0:00

Idadi ya vifo imeongezeka kutokana na maporomoko ya matope ambayo yalilikumba eneo la Mount Elgon nchini Uganda linalopakana na Kenya. Mamia ya wenyeji katika eneo hilo wamekoseshwa makazi kutokana na nyumba zao kuharibiwa na mvua kubwa, iliyokuwa inanyesha kwa siku kadhaa mfululizo.

XS
SM
MD
LG